Lowassa adai aliitwa Ikulu na Rais Magufuli akimtaka kurudi CCM

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasiana na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa amesema kuwa alikwenda Ikulu baada ya kuitwa na Rais John Pombe Magufuli akimtaka arudi CCM lakini alimjibu kuhama kwake hakubahatisha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo