skip to main |
skip to sidebar
Katibu wa CHADEMA wilaya ya tarime Mara ajiuzulu na Kuhamia CCM
Katibu wa CHADEMA wilaya ya Tarime mkoa wa Mara Thobias Elias Ghati amejiuzulu nafasi hiyo na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiungana na Chama cha Mapinduzi leo mjini Tarime
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi