skip to main |
skip to sidebar
Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa "Kuovertake Kihuni"
Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha maisha ya abiria ambapo alikuwa akiendesha Basi la Kampuni hiyo linalofanya safari zake za Dar es Salaam na Wilayani Kyela Mkoani Mbeya
Kupitia Youtube tuliweka video inayoonesha namna Dereva huyo na Mwingine walivyohatarisha maisha ya abiria waliokuwa wamewabeba
Aidha Waziri wa Mambo ya Ndani, @mwigulunchemba kupitia ukurasa wake wa Instagram amekemea vikali na kuahidi kuwa Dereva yeyote atakayevunja sheria hatoachwa na mkono wa sheria.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi