Watu saba wafariki kwa ajali, 12 wajeruhiwa

Watu saba wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha basi la kampuni ya Saratoga baada ya kugongana na gari aina ya Hiace katika kijiji cha Kabeba mkoani Kigoma

Kaimu Kamanda wa polisi, Sweetbert Njewike amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo vya watu saba na majeruhi 12 na kusema chanzo cha ajali hiyo ni madereva wa magari hayo kutokuwa makini barabarani


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo