Mgombea wa CHADEMA aliyepitishwa na NEC ajitoa kwenye uchaguzi

Aliyepitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Djumbe Joseph ameandika barua ya kujitoa katika uchaguzi huo mdogo.
DRfDq9cX4AIuJbt.jpg:large.jpeg
Chanzo: Mwananchi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo