Mdee: Tunguli kamwe haziwezi kushinda NGUVU za Mungu

Naona WA MATAIFA wamewashinda sasa mnavamia watumishi wa MUNGU. Tunguli kamwe haziwezi kushinda NGUVU za Mungu... why don’t you start na watumishi wa Mungu wanaousifu utawala wenu DHALIMU? Unaopoteza watu na kuminya DEMOKRASIA? Hakuna MAREFU yasiyo NCHA ndugu Rais. https://twitter.com/halimamdee/status/946435084676206592 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo