skip to main |
skip to sidebar
Waandishi wa Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Mtanzania wahojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge
Kamati Maadili ya Bunge imewahoji Wahariri na Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) & (g) ya Sheria ya Kinga za Bunge.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi