skip to main |
skip to sidebar
News Alert: Empakaai, Arusha Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka
Ndege imegonga mlima huko Empakai Ngorongoro, imeua abiria 11 akiwemo rubani mmoja. Hii ni ndege ya pili kwa kampuni hiyo kuanguka ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Hii nyingine ilitokea mwezi uliopita lakini haikuua.
Pamekuwa nashida kwa marubani wageni kwa ukanda huu haswa wanaporuka kwenye low altitude kwenye bad weather, eneo hili lina milimamilima kama hali ya hewa ikiwa mbaya (Low visibility) linakuwa ni eneo la hatari sana.
Chanzo: jamiiforums
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi