RC: Lowassa kaomba kurudi CCM, amenituma kwa JPM

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo alisimama kwenye jukwaa la kumpigia kampeni Mgombea Udiwani kwenye siku ya mwisho ya kampeni November 25.
Akiwa kwenye Jukwaa hilo Gambo alisema ametumwa na Lowassa kwa Rais Magufuli akitaka kurudi CCM hivyo afikishe ujumbe kwani yeye Lowassa kwa muda mrefu ametamani kuongea na Rais Magufuli lakini hajakubaliwa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo