SIMIYU: Katibu wa CCM wilayani Itilima amelazwa hospitali ya Wilaya baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA wakati akiwasindikiza mawakala wa chama chake(CCM) kwenda vituo vyao kusimamia kura#UchaguziMadiwani#JFLeo pic.twitter.com/mZrx3f0B4b— Jamii Forums (@JamiiForums) November 26, 2017
Tetesi za Soka Ulaya na Habari za Michezo Leo Tanzania
18 minutes ago
