Nimeona taarifa kuwa Kitila Mkumbo amejiunga na ccm huu ni mzaha wa ajabu sana . Kama dhihaka na kejeli ingekuwa inazalisha umeme basi Tanzania ingekuwa Nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa umeme duniani.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) November 16, 2017
Kauli ya Lema baada ya Prof Kitila Mkumbo Kuhamia CCM
By
Edmo Online
at
Friday, November 17, 2017
