Bashe amesema suala hilo linampatia hofu, kama alivyoanisha hayo katika ukurasa wake wa Twitter
Kwa Mara ya kwanza nimepata hofu juu ya Taswira ya sisi viongozi Badala ya kujadili mambo kwa Misingi ya Hoja Tumeanza kujadili Ukanda— Hussein M Bashe (@HusseinBashe) November 8, 2017
CCM,Chadema,Cuf na NCCR tuliomo ndani ya Bunge hatuna haki yoyote ya kuanza kupandikiza mbegu ya kuligawa Taifa— Hussein M Bashe (@HusseinBashe) November 8, 2017