Hayo ameyasema Ikulu jijini DSM wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti mbili za bunge kwa Rais Magufuli hii leo
"Vyama vya siasa vina nguvu sana ipo haja ya kuviandikia barua, kwa sababu wananchi hawana makosa kuwachagua kwa sababu hawajui" amesema Ndugai
#RipotiMadini "Bodi zibadilike ziwe zinakwenda field ili kujionea yanayotokea badala ya kusubiri ripoti"-Spika wa @bunge_tz Job Ndugai— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) September 7, 2017
#RipotiMadini "Viongozi tunaomsaidia Rais, kila wakati tuwe tunakumbuka uelekeo wa nchi"-Spika wa @bunge_tz Job Ndugai.— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) September 7, 2017
#RipotiMadini "Kumpata Rais aliyejitoa kusimamia rasilimali za nchi si jambo jepesi"- Spika wa @bunge_tz Job Ndugai— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) September 7, 2017