Serikali imesema kuwa inaandaa mpango wa kuhakikisha kila tukio linatolewa ufafanuzi mapema ili kutoruhusu watu kuzusha taarifa.
- Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa vifo kama vya Mchungaji Mtikila na Alphonce Mawazo viliachwa bila ya kutolewa ufafanuzi hali iliyopelekea kuzua mjadala.
