Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amesema kesho atazungumza na waandishi wa habari kuhusu kauli tata za waziri wa mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba
Kupitia ukurasa wake wa twitter Mbunge huyo ameutumia kutoa taarifa hiyo
Nitaongea na vyombo vya habari kesho kuhusu kauli mbaya na tata za Mh Mwigulu— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) September 28, 2017
