Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete Prof Norman Sigala amesema yapo madhara makubwa kwa binadamu anayezungumza na simu kwa zaidi ya dakika 6
Amesema madhara yanayotokana na Minara ya simu ni madogo lakini yanayotokana na simu ndiyo makubwa
Bonyeza Play Hapa chini Umsikilize:-