Kaimu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga (kushoto) akiwa kwenye studio za Green FM
Makamu mwenyekiti wa timu ya Yanga ambaye pia ni Kaimu Mwenyekiti wa timu hiyo Clement Sanga ametembelea studio za Green Fm na kuzungumza mambo mengi kuhusu timu ya Yanga pamoja na maendeleo ya wilaya ya Makete kwa Ujumla
Miongoni Mwa aliyoyazungumza ni pamoja na Ujenzi wa uwanja wa Michezo Makete na mengine mengi, unsipate tabu Bonyeza Play hapo chini umsikilize au ubonyeza Downlaod ili kupakua kile alichokisema




