Mara nyingi ni vigumu sana kwa vijana kuimba nyimbo za kilugha, yaani za kutumia lugha ya kabila lao, lakini kijana huyu wa Makete naona kijana huyu Mackford amekamilisha kiu hiyo, ni miongoni mwa vijana waliotumia kilugha katika wimbo huu, Unaweza kuusikiliza au kuupakua hapa chini
