Tundu Lissu leo akosa dhamana


Mwanasheria wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amenyimwa dhamana baada ya kukamatwa leo kwa tuhuma za kumkashifu Rais John  Magufuli na uchochezi.

Akizungumza na Mwananchi leo  mwanasheria wake Faraji Mangula amesema kwamba kesho Lissu atapandishwa mahakamani.

Amesema Polisi wamedai kwamba amemkashifu Rais wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari  kwenye hoteli ya Protea.

‘’Polisi wamemnyima dhamana wamesema wanafanya utaratibu wakumfikisha mahakamani’’amesema.

Mwananchi:


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo