Kitu kimoja nakuahidi, hii ni term yako ya mwisho, tunakurudisha kufanya kazi ya Uchungaji maana naona mchungaji anajichanganya na mbuzi https://t.co/WUJz27qVMI— Humphrey Polepole (@hpolepole) August 22, 2017
Kitendo cha Msukuma kumkumbuka Nape , ni ujumbe tosha Kuwa Viatu vya Nape vibampwaya POLEPOLE!— peter msigwa (@MsigwaPeter) August 22, 2017
