"Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari-Zamaradi Kawawa.— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) August 19, 2017
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) August 19, 2017
Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili-Zamaradi Kawawa— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) August 19, 2017
