Uamuzi huo, umetolewa na Jaji Lugano Mwandambo ambaye amesema ametupilia mbali pingamizi hilo la zuio la kuapishwa kwa Wabunge hao 8 na kwa mantiki hiyo, Wabunge wapya walioteuliwa kuziba nafasi zao wanaweza kuapishwa.
Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Pingamizi la Wabunge 8 Waliofukuzwa CUF
By
Edmo Online
at
Friday, August 04, 2017