Ester Bulaya kufungua kesi dhidi ya Wasira?

Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya kwa mara ya kwanza amerudi Jimboni kwake kwa wapiga kura wake baada ya kushinda kesi kuwaomba ushauri wa kufungua dhidi ya Stephen Wasira kudai fidia baada ya kumshinda kesi.
July 28, 2017 Mahakama ya Rufaa ilitupilia mbali rufani iliyofunguliwa na wapiga kura wa Jimbo la Bunda Mjini katika kesi ya uchaguzi wa kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo, Ester Bulaya ambapo Wapiga kura hao walikuwa wanampigania aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CCM Stephen Wasira.
Baada ya kushinda kesi hiyo Ester Bulaya amerudi Jimboni kwake leo August 16, 2017 na kuzungumza na wapiga kura wake ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumza ni pamoja na kuomba ushauri wa kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya Stephen Wasira.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo