skip to main |
skip to sidebar
Picha: Bweni la Shule ya Sekondari Philip Mangula Lateketea kwa Moto
Wanafunzi 18 Wa Shule Ya Sekondari Philip Mangula Iliyopo Kata Ya Imalinyi Wilayani Wanging'ombe Wamejeruhiwa Katika Ajali Ya Moto Iliyotokea Majira Ya Saa Moja Jioni ya jana.
Katika Ajali Hiyo Imeelezwa Kuwa Bweni la Wavulana Ndilo Limeungua Na Mali Zote Za Wanafunzi Zilizokuwamo Humo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi