Ni aibu kubwa kwa UWT kuunga mkono kauli ya kibaguzi ya Rais isiyojali utu dhidi ya watoto wa kike! Nilisubiri mseme.. BAWACHA tunakuja.. https://t.co/2L4FnAqYiG— Halima James Mdee (@halimamdee) July 1, 2017
Kauli ya Halima Mdee baada ya UWT Kumuunga Mkono Rais Magufuli Kuhusu Mimba kwa wanafunzi
By
Edmo Online
at
Sunday, July 02, 2017