Haji Manara anena kuhusu Kufungiwa na TFF

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemfungulia mashtaka ya kinidhamu Msemaji wa Simba, Haji Manara kwenye Kamati ya Maadili. Mwenyewe ametaka mahojiano yake na kamati hiyo yarushwe LIVE.

Manara ameandika mtandaoni kwamba angependa mahojiano hayo kurushwa mubasharaa ili watu wajionee.

Kwa mujibu wa alichoandika mtandaoni, inaonekana Manara hana imani na kamati hiyo pamoja na TFF iliyomfungulia mashitaka. pia amesema anajua atafungiwa, lakini atakuja Manara mwingine kuiseme Simba



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo