EXCLUSSIVE AUDIO: Mbunge Lijualikali afunguka alivyoshuhudia Dawa za Kulevya zikitumika gereza la Ukonga

Siku moja baada ya Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali kupitia tiketi ya CHADEMA kuachiwa huru kufuatia Mahakama Kuu masijala ya Dar es Salaam March 30, 2017 kutengua hukumu aliyopewa Mbunge huyo ya kifungo cha miezi sita alichohukumiwa kukitumikia gerezani licha ya kuwa alikuwa ameshatumikia siku 79 za kifungo hicho, Muungwana Blog imezungumza na Mbunge Lijualikali kuhusu maisha yake ya gerezani, na nini alichokiona akiwa gerezani?

Mbunge Lijualikali amefunguka kushuhudia uwepo wa biashara ya Dawa za kulevya katika gereza la Ukonga Jijini Dar es salaam alikokuwa amefungwa, kuhusu Nani anaingiza madawa hayo mpaka kwa wafungwa? vyote amefunguka kupitia hiyo AUDIO hapo chini...


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo