Askari Magereza mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi

Askari mmoja  wa Jeshi la Magereza, Said Mganda wa gereza la Mkwaya, Mbinga anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Kutokana na tukio hilo Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 15 amelazimika kufukuzwa shule kutokana na ujauzito huo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo