Waziri Dkt Mwakyembe asema hajaiona ripoti ya Nape Nnauye na yeye kama mwanasheria hawezi kupeleka ripoti ambayo haijakamilika.
Huwezi kuwa hakimu kwenye kesi yako mwenyewe. Nyote mlisikia kuwa Clouds pekee ndio waliohojiwa na upande wa pili haukupatikana.
Msikilize hapa akiongea>>>>>>>
Msikilize hapa akiongea>>>>>>>
