Sehemu ya wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya Bajeti wakitembelea bandari ya Dar es salaam kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017
Makontena ya Mchanga Yazua Kasheshe tena, Spika Kuunda Timu Maalum ya Kuchunguza
By
Edmo Online
at
Sunday, March 26, 2017