Dogo Janja aonesha Kuhofia Ngoma mpya Ya Ney wa Mitego, Atupa Dongo kwa Roma

Msanii wa bongofleva hapa nchini Dogo Janja ameonesha kukunwa na wimbo mpya wa Nay wa Mitego uitwao wapo

Katika account yake ya Twitter dogo janja kaonesha kuikubali hiyo ngoma na kurusha Dongo kwa Roma Mkatoliki


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo