AUDIO: "Ni sahihi Kabisa Nape alivyoshikiwa Bastola" Asema Mbunge

Mbunge wa Tarime vijijini Joseph Kasheku Msukuma, amesema kitendo cha aliyekuwa waziri wa habari utamaduni sanaa na Michezo Nape Nnauye kushikiwa Bastola wakati akitaka kuongea na waandishi wa habari, ni sahihi Kabisa

Mbunge huyo amesema hakuna anayejua maafisa usalama au maaskari hasa aliyemshikia bastola huwenda walikuwa wamepata fununu za jambo baya kwa Nape na Hivyo walifanya hivyo kumuokoa

Lakini amekwenda mbali zaidi kwa kufurahia Nape kutenguliwa uteuzi wake, kwa kuwa wabunge wapo wengi akiwemo yeye na kusema kuwa huwenda akateuliwa na Rais kuwa waziri kwa kuwa hata yeye anaupenda

Msikilize hapa Chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo