Aliyekuwa waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye amezungumza na kutolea ufafanuzi habari za yeye Kuhama chama cha Mapinduzi CCM baada ya kutenguliwa Uwaziri wake na Rais Magufuli
Nape ametoa ya Moyoni leo wakati akikabidhi Ofisi kwa waziri Mpya Dkt Harrison Mwakyembe
>>>>>Msikilize akiongea hapa chini kuhusu Kuhama CCM