Waandishi wa habari leo walijikusanya katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar as salaam, baada ya kuzagaa taarifa kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Comrade Abdulrahman Kinana atazungunza na waandishi wa habari.
Hata hivyo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, alikuja kukanusha, “Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana hatakuwa na Mkutano na waandishi leo. Asante”
Hizi ni picha za waandishi wakiwa katika sintofahamu katika ofisi za chama hicho:
Na Emmy Mwaipopo wa Bongo5