Unyama: Mume Amchinja Mkewe Koromeo, Alianza kwa kumpiga na Nyundo ya Utosi

Mkazi mmoja wa Boko Msikitini Manispaa ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam Mohamed Said amemchinja mke wake na kisha yeye kujinyonga kwa kutumia Chandarua

Mmoja wa Majirani Pamoja na mwenye nyumba ambapo watu hao walikuwa wakiishi Ramadhan Said wameelezea tukio hilo kwa kusema kuwa limewasikitisha

Heri Nassoro Ni diwani wa kata ya Bunju naye akazungumza na kusema tukio hilo ni la kulaaniwa na kila mtu


Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Suzan Kaganda amethibitisha kutokea kwa tukio hilo

Sikiliza sauti kwa kubonyeza play hapa chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo