Serikali yalipa Gazeti Saa 24 limuombe Radhi Rais Magufuli

Serikali inawaagiza wahariri wa gazeti la Mwanahalisi kujitathmini na kuchukua hatua kwa kutumia kifungu cha 40 cha sheria ya huduma za habari 2016 kinachowapa fursa ya kuomba radhi kwa kumuomba radhi Rais ndani ya saa 24 kuanzia saa 10 jioni ya leo Januari 30, 2017, zaidi soma waraka huu hapa chini


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo