Watendaji wa Halmashauri wadaiwa kuficha taarifa kwa kumuogopa Rais Magufuli

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kwa baadhi ya maeneo nchini ambapo amesema ndani ya mwezi November mwaka huu wagonjwa 458 wameripotiwa kuugua, sita wamekufa kwa ugonjwa huo.
Aidha Waziri Mwalimu amesema baadhi ya halmashauri nchini zimekuwa zikificha taarifa za wagonjwa wa kipindupindu kwa kuogopa kuchukuliwa hatua na Rais Magufuli. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo