Picha za Mvua iliyochakaza Jiji la Dar Es Salaam leo

dar1-5
Hali ilivyoonekana kufurika barabara za mitaa ya posta Dar.
dar1-2Mmoja wa watembea kwa miguu akionekana akipita kwenye maji yaliyojaa barabarani.
dar1-3dar1-4Baadhi ya watembea kwa miguu wakipita kwa tabu katika mitaa mbalimbali ya Posta Dar.
MVUA iliyoanza kunyesha leo asubuhi katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam imesababisha adha kwa watembea kwa miguu na magari kufuatia barabara kadhaa zikiwemo za maeneo ya posta kutopitika kwa urahisi kutokana na kufurika maji.
Kutokana na mvua hizo, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwamba  zinatokana na msimu wa upepo wa LANINA na hivyo zitaendelea kunyesha hadi Desemba 2016.
HABARI/PICHA; DENIS MTIMA/GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo