
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya Azam na mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.