Lowassa na wana UKAWA wenzake walivyotinga Bungeni Leo

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.

Mawaziri hao wastaafu walioihama CCM na kuhamia CHADEMAwalikwenda mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo