JKT Mlale watoka Sare na Coastal Union Uwanja wa Majimaji Songea

Kocha wa JKT Mlale Edga Msabila akihojiwa na Ruvuma TV on Line baada ya mpira kumalizika na kutoka sare ya moja moja  na Coast Union ya Tanga katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI uliopo mjini Songea Mkoani Ruvuma


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo