Angalia Picha na Video: Scania semi trailer lateketea kwa moto Dodoma

Gari aina ya Scania limeteketea kwa moto mjini Dodoma Jumamosi, Oct 9, maeneo ya Kisasa Sheli kwa Malanga. 

Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha moto huo. Hakuna majeruhi walioripotiwa.


20161009_102436
20161009_102500
20161009_103043
20161009_103059
20161009_103121
20161009_103150
Picha na video vimechukuliwa na Sam Chard (Dodoma)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo