AZAM FC IMEUTULIZA UBABE WA YANGA BAADA YA KUITWANGA KWA PENALTI 4-1 NA
KUBEBA NGAO YA JAMII KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, LEO. YANGA
ILIONGOZA HADI MAPUMZIKO KWA MABAO 2-0, AZAM FC IKASAWAZISHA YOTE MAWILI
NA DAKIKA 90 ZIKAISHA KWA 2-2.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi