Dakika 54 za simulizi jinsi Mauaji yalivyotokea Utweve Makete, Sikiliza sauti hii

 Kaburi la Mtoto huyo anayedaiwa kuuawa kwa kipigo

Mei 31 mwaka huu mtoto wa miaka 17 alipigwa na watuhumiwa watatu katika kijiji cha Utweve kata ya Ukwama wilaya ya Makete mkoa wa Njombe akituhumiwa kuwa ni mwizi

Tukio hilo linadaiwa kupelekea kifo cha mtoto huyo ambaye alifariki Juni 4 mwaka huu akipatiwa matibabu Ikonda hospitali

Katika kijiji hicho kumekuwa na vikao vya mara kwa mara kufuatia watuhumiwa wa mauaji hayo kupewa dhamana na mahakama baada ya kuonekana wanatuhuma za kuua bila kukusudia

Ndugu mmoja wa marehemu amezungumza na Eddy Blog kwa dakika 54 kuelezea jinsi ilivyokuwa mwanzo hadi mwisho, sikiliza sauti hapo chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo