Aliyekuwa mbunge wa Biharamulo Magharibi kupitia CHADEMA bunge
lililopita, Dr. Gervase Mbassa amefariki dunia. Ni kifo cha ghafla sana, Na bado haijajulikana sababu za kifo chake
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi