Tukio la Kwanza.
Ngoma ya Sangura akipiga huku waimbaji wa kkie na kiume wakikata viu
no wakati Mwili wa Liyumba akijianda kwenda Kanisani
Wakizidi kukata viuno
Tukio la Pili.
Mwili wa Liyumba ukishusha kwenye gari la wazi na kuweka kwenye gari la Wagonjwa.
Mama akionyesha umahiri wake wa kukata kiuno kwenye mazishi ya Liyumba
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Liyumba
Msafara wa kueleka kanisani ukianza.
Tukio la Tatu.
Wombolezaji wachache wakiwasili kanisani kwa ajili ya maombezi ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Liyumba.
....Mwili wa Liyumba liyumba ukiingizw akanisani kanisani Katoriki Parokia ya Kwiro Jimbo la Mahenge.
Mapadere wakiwa mbele ya jeneza la Liyumba
Mwili wa Liyumba ukiwasi katika makaburi yaliyopo nje ya kanisani hilo.
Watoto wa marehemu wakiangua vilio.
Mwili wa Liyumba ukiwa ndani ya nyumba yake ya milele
Tukio la 4,
Waombolezaji wakianza kufukia kaburi
la Liyumba, hata hivyo walipoanza tu kufanya hivyo bonge la Mvua
lilishuka eneo hilo la makaburi.
Watoto wa Marehemu wakiangua vilio wakati kaburi la Mpendwa baba yao likifukiwa
Mvua imeshuka wenye miamvuli
walijisitili na waio na miamvuli waliloa huku wenye mioyo midogo waliamu
kuacha mazishi na kuondoka zao
Watoto wa marehemu kwa umoja wao wakiweka shada la Mau kwenye kaburi la baba yao.
Stori: Dustan Shekidele,
MAHENGE, Morogoro: Rest in peace! Mwili
wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania
(BoT), Amatus Joachim Liyumba (68), aliyefariki Aprili 18 na kuzikwa
wikiendi iliyopita kijijini kwao, Kwiro, Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani
hapa huku mambo manne yakiwastaabisha waliojitokeza kwenye mazishi
hayo.
- Mwili wapokelewa kwa ngoma ya baba yake Liyumba, ni ngoma aina ya Sangora.
- Ngoma yakesha
- Wakiwa njiani kuelekea kanisani…. Mwili wa Liyumba wabadilishwa kutoka gari la kwanza na kuwekwa kwenye gari la wagonjwa kisha kuelekea katika Kanisa la Parokia ya Kwiro, Jimbo la Mahenge.
- Mazishi yake yahudhuriwa na watu wachache.
- Chanzo chabainika kwa nini wakazi wa Ulanga walisusa kuhudhuria msiba huo.
- Wakati ulipofika wa mwili wa marehemu kuingizwa kaburini, ghafla mvua kubwailinyesha dakika chache na kukata ghafla.