Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu, uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, ambapo wakuu wa mikoa hao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo na 1 amepelekwa mkoa mpya wa Songwe.
Katika uteuzi huo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, na aliyekuwa mkuu wa mkoa wake Said Meck Sadick amehamishiwa mkoa wa Kilimanjaro.
Pamoja na hayo aliyekuwa mbunge wa Same Mashariki mama Anne Kilango Malecela, ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Hii ndio orodha kamili ya wakuu hao wapya wa mikoa.
1. Mh. Paul Makonda -Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
2. Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga- Mkuu wa Mkoa wa Geita.
3. Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu- Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
4. Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga- Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
5. Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga- Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
6. Mh. Godfrey Zambi- Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
7. Dkt. Steven Kebwe- Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
8. Kamishna Mstaafu wa Polisi Zerote Steven- Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
9. Mh. Anna Malecela Kilango- Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
10. Mhandisi Methew Mtigumwe- Mkuu wa Mkoa wa Singida.
11. Mh. Antony Mataka- Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
12. Mh. Aggrey Mwanri- Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
13. Mh. Martine Shigela- Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
14. Mh. Jordan Mungire Rugimbana- Mkuu wa Mkoa Dodoma.
15. Mh. Said Meck Sadick- Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
16. Mh. Magesa Mulongo- Mkuu wa Mkoa Mara.
17. Mh. Amos Gabriel Makalla- Mkuu wa Mkoa Mbeya.
18. Mh. John Vianey Mongella- Mkuu wa Mkoa Mwanza.
19. Mh. Daudi Felix Ntibenda- Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
20. Mh. Amina Juma Masenza- Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
21. Mh. Joel Nkaya Bendera- Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
22. Mh. Halima Omary Dendegu- Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
23. Dkt. Rehema Nchimbi- Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
24. Mhandisi Evarist Ndikilo- Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
25. Mh. Said Thabit Mwambungu- Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
26. Luteni Mstaafu Chiku Galawa- Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).
Wakuu hao wa mikoa wanatariwa kuapishwa siku ya jumanne ya Tar 15 Machi 2016.