Kama Unatumia LUKU soma hii kutoka TANESCO sasa Hivi

Taarifa kwa Umma
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapolekea wateja kushindwa kununua Umeme kwa njia zote siku ya Alhamisi tarehe 24, March 2016 kuanzia saa 5 usiku hadi tarehe 25 March 2016 saa 11 Alfajiri.


Sababu za kukosekana kwa huduma hiyo ni : Matengenezo ya kuboresha mfumo wa LUKU.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na ofisi ya uhusiano TANESCO makao makuu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo