#Updates:Watu 11 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya basi la simba mtoto lililokuwa likitokea tanga kuelekea jijini dar es salaam kugongana na lori katika eneo la Tanga Mlima
Ajali hiyo imehusisha Basi la Simba Video na Lori na inaelezwa kwamba madereva wote pamoja na utingo wa magari yote mawili wamepoteza maisha
Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Mihayo Msikhela amesema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyesinzia wakati akiwa barabarani
TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA:





