Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi imewasimamalisha kazi mara moja watumishi watatu ambao walikuwa na jukumu la kusimamia sheria ya manunuzi na kazi ya uchapishaji wa vitabu ili kupisha uchuguzi.
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube